• All
  • Community Assistance
  • education
  • General
  • Tech
  • Uncategorized
  • Women
  • World

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA MBEYA TULIA MARATHON 2024

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 11, 2024 ameshiriki katika tukio la mbio za Mbeya Tulia Marathoni 2024

DKT. TULIA ATOA MSAADA KWA WANANCHI WALIOKUMBWA NA MAPOROMOKO ITEZI

Dkt.Tulia Ackson amekabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali kwa waathirika ambao nyumba zao zilifunikwa na maporomoko ya tope katika Mlimani Kawetele Kata ya Itezi jijini hapa na kusababisha kukosa makazi ya kuishi.

SPIKA DKT. TULIA AMJENGEA NYUMBA MJANE AMKABIDHI

Akiongea huku akibubujikwa machozi Singwava Jackson amemshukuru Dkt Tulia kwa kuisitiri familia yake kwani alikuwa akiishi kwenye turubai kwa hofu hasa mvua zilipokuwa zikinyesha na pia hakuwa na mtaji.

MNEC MWASELELA: MBEYA TUMEJENGA UZIO KUMLINDA DKT. TULIA

Mwaselela amesema hayo Aprili 8, mwaka huu wakati akitoa salamu kwenye Iftar iliyoandaliwa na Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake mbaye ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Spika wa Bunge Dkt.Tulia Ackson jijini hapa.

VIONGOZI MBEYA WASEMA DKT. TULIA HAFANYI SIASA ANATEKELEZA ANDIKO LA MUNGU KUGUSA WAHITAJI

Sheikh Njalambaha amesema usiku wa jana Aprili 8 mwaka huu wakati wa waumini wa dini ya kiislam, viongozi wa Chama, Serikali na Machifu mkoani hapa walipoungana kula aftari iliyoandaliwa, Dkt. Tulia Ackson kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust.

DKT. TULIA KUMSAIDIA MATIBABU MZEE MWENYE TATIZO LA KIDONDA MGUUNI

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametoa ahadi ya kumpatia matibabu ya mguu Mzee mwenye mahitaji  Mbaliki Shikunzi(80).

SHEKHE NJALAMBAHA: DKT. TULIA NI ZAIDI YA MWANASIASA

SHEKHE wa Mkoa wa Mbeya,Msafiri Njalambaha amesema kitendo kinachofanywa na Mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini na Spika wa Bunge ,Dkt.Tulia Ackson mbali na masuala ya kisiasa ni ibada kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani kwani amekuwa akijitolea kusaidia watu wenye uhitaji.

TULIA TRUST YAKABIDHI KILO 400 ZA MCHELE MSIKITI MKUU WA MKOA WA MBEYA

Taasisi ya Tulia Trust imetoka kilo 400 za mchele na tende boksi 20 katika Msikiti Mkuu wa Mkoa wa  Mbeya kwa ajili ya waumini wenye mahitaji katika kuelekea sikuu ya Eid El Fitri.

TULIA TRUST YATOA MSAAADA WA CHAKULA, MAVAZI KWA WAZEE WASIOJIWEZA

Wazee wasiojiweza Jijini Mbeya wameanza kutabasamu baada ya  Taasisi ya Tulia Trust kuanza program  ya kugawa chakula na mavazi  bure.

WAUMINI WA KIISLAMU WAMUOMBEA DUA YA KHERI DKT.TULIA

WAUMINI wa dini ya Kiislamu wamemuombea dua ya kheri Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Spika wa Bunge ambaye pia Rais Umoja wa Mabunge Duniani ,Dkt.Tulia Ackson ili aweze kutekeleza majukumu yake vizuri katika kuhudumia jamii.

DKT. TULIA ATOA MSAADA WA VIPAZA SAUTI MSIKITI WA MASJID BI FATMA NZOVWE JIJINI MBEYA

Akikabidhi vifaa hivyo kwa niaba ya Dkt Tulia Ackson Afisa Habari wa Taasisi hiyo Joshua Mwakanolo amesema lengo ni kutekeleza ombi la Msikiti huo kwa Mbunge ambapo waliomba vipaza sauti kwa ajili ya ibada.

DKT.TULIA APONGEZWA KUGUSA JAMII NA WENYE UHITAJI

MJUMBE wa Baraza kuu la UVCCM Taifa kutoka mkoa wa Mbeya ,Timida Fyandomo amempongeza Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dkt.Tulia Ackson kutokana na kutambua jitihada kubwa anazofanya za kusaidia jamii na watu wenye uhitaji.

MBALAZA WA UMOJA WA VIJANA WA CCM MBEYA MJINI, CDE. TIMIDA FYANDOMO, AAHIDI MSAADA WA GODORO KWA MUHITAJI KATIKA UJENZI WA NYUMBA YA TULIA TRUST

Timida Mpoki Fyandomo Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana Taifa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Mkoa wa Mbeya ameahidi kutoa godoro kwa mjane Singwava Mwanyanje mwenye watoto sita mkazi wa Itanji Kata ya Iganjo Jijini Mbeya anayejengewa nyumba na Taasisi ya Tulia Trust inayoongozwa na Rais wa Mabunge Duniani Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini.

TULIA TRUST YAKABIDHI MIFUKO 400 YA SARUJI SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI

ATIKA kuhakikisha kuwa mazingira ya miundombinu ya shule za msingi na Sekondari Jijini Mbeya yanaendelea kuimarishwa na kuwa na ubora Taasisi ya Tulia Trust imekabidhi msaada wa mifuko mifuko 400 ya Saruji kwa shule za msingi na Sekondari Jijini hapa.

TULIA TRUST YATOA MIFUKO 400 YA SARUJI KWA SHULE 3 JIJINI MBEYA

Taasisi ya Tulia Trust imetoa mifuko mia nne kwa shule tatu za msingi na sekondari Jijini Mbeya kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya madarasa katika shule hizo.

MJANE APEWA TABASAMU NA TAASISI YA TULIA TRUST

Mjane Sigwava Jackson (60) amemshukuru Mbunge wa Mbeya mjini, Spika wa Bunge na Rais wa Mabunge Duniani (IPU) Dkt. Tulia kwa kumtupia jicho na kumjengea makazi bora.

DC ATAKA VITIMWENDO VIKAWE MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU

MKUU wa wilaya ya Chunya ambaye ni Kaimu mkuu wa wilaya ya Mbeya,Mrakibu Mwandamizi wa jeshi la uhamiaji,Alhaji Mubarak Batenga amewataka wazazi na walezi waliopatiwa msaada wa vitimwendo kwa ajili ya watoto wenye ulemavu kuvitumia kuwapeleka shule badala ya kuendelea kukaa nao ndani ili elimu wanayopata iwe na manufaa katika maisha yako ya badae.

TULIA TRUST YAWAPA TABASAMU WANA-ITEZI

Taasisi ya Tulia Trust imetoa Msaada wa Viti Mwendo Vinne (4) kwa Watu Wenye Uhitaji Maalumu (Watu wenye Ulemavu) kata ya Itezi Jijini Mbeya.

TULIA TRUST YAWAGUSA WANAFUNZI WANAOISHI MAZINGIRA HATARISHI

WANAFUNZI wanaoishi katika mazingira hatarishi Jijini Mbeya wamepatiwa msaada wa madaftari na Taasisi ya Tulia Trust ikiwa ni mwendelezo wa kusaidia  jamii kwa  kata 36 zilizopo Jijini hapa.

TULIA TRUST KUGUSA WALEMAVU KUPITIA MPANGO WA UWEZESHAJI KIUCHUMI

Taasisi ya Tulia Trust imeanza programu maalum ugawaji wa baiskeli za viti mwendo kwa walemavu sambamba na kuwaingiza kwenye mpango wa kuwezesha kiuchumi.

TAASISI YA TULIA TRUST YAMKABIDHI KITIMWENDO MLEMAVU ALIBEBWA MGONGONI MIAKA SABA

Taasisi ya Tulia Trust leo imefanya matukio mawili likiwepo la kukabidhiwa madaftari  kwa watoto wenye mahitaji maalum 3,000 katika shule la za msingi kata 36 jijini hapa.

DKT. TULIA ACKSON AZIDI KUSAMBAZA UPENDO MBEYA

Diwani wa kata ya majengo jijini Mbeya ,Maulid Jamadary amemshukuru Dr Tulia Ackson mbunge wa Mbeya mjini na Spika wa bunge la JMT kwa msaada wa kiti mwendo (wheelchair ) na Bima ya afya kwa Elizabeth Mbewe ambaye ni mkazi wa kata ya Majengo.

TULIA TRUST YAMPA TABASAMU MTOTO MWENYE ULEMAVU

Mtoto mwenye ulemavu wa miguu Doreen Myuki (12)Mwanafunzi wa darasa la Saba Shule ya Msingi Mwasote kata ya Itezi Jijini Mbeya ameshindwa kujizuia kwa kumwaga machozi kwa kueleza machungu aliyopotia kipindi chote cha kusaka elimu kutokana na ulemavu aliokuwa nao.

WAZEE, WALEMAVU, WENYE MAHITAJI 6,000 WAPEWA BIMA YA AFYA NA DKT. TULIA

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amefanya tukio la kihistoria katika Mkoa wa Mbeya baada ya kutoa bure kadi za bima kwa kaya 1,000 zenye watu 6,000.

6,000 wawezeshwa Bima ya Afya

Wananchi 6,000, mkoani Mbeya wamewezeshwa bima za afya bure na taasisi ya Tulia Trust kupitia Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dkt.Tulia Ackson ikiwa ni jitihada za kuunga mkono serikali katika sekta ya afya.

Mlemavu wa macho amshukuru Spika Dkt.Tulia kwa kumkabidhi nyumba

JAMII na wadau mbalimbali Jijini Mbeya wameombwa kumuunga mkono Spika wa Bunge na Mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini ,Rais wa IPU Dkt.Tulia Askson katika jitihada zake za kusaidia watu wasiojiweza

DKT. TULIA AKABIDHI NYUMBA KWA MLEMAVU WA MACHO

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, amezindua na kumkabidhi nyumba mlemavu wa macho

MASHINDANO YA MBEYA TULIA MARATHON KUTIMUA VUMBI MEI 10 NA 11 SOKOINE, JIJINI MBEYA

Huu ni msimu wa nane wa mbio hizo ambazo hulenga kusaidia miundombinu ya elimu na afya kwa jamii na tayari maandalizi yameanza, huku wanamichezo wakiombwa kushiriki mbio hizo.

Kumekucha Mbeya Tulia Marathon

Huu ni msimu wa nane wa mbio hizo ambazo hulenga kusaidia miundombinu ya elimu na afya kwa jamii na tayari maandalizi yameanza, huku wanamichezo wakiombwa kushiriki mbio hizo.

Tulia Marathon kurindima Mei 2024

Ninaachoomba wakazi wa Mbeya tumuunge mkono Dkt.Tulia kwa sababu lengo lake ni nzuri ambalo ni kuimarisha miundombinu ya elimu na afya

TAARIFA

Taasisi inawakaribisha Watanzania wote kwenye mashindano ya riadha yajulikanayo kama MBEYA TULIA MARATHON msimu wa Nane  mashindano yatafanyika mnamo tarehe 10-11/05/2024

NYOTA YA PILTON MUSA YAZIDI KUNG’ARA

Tulia Trust tunatoa pongezi nyingi sana kwa Aliyekuwa Mshindi wa Kwanza kwenye Mashindano ya Kusaka Vipaji yaliyo anzishwa na Rais wa

WAZEE, WENYE ULEMAVU WAKUMBUKWA

Msaada huo umetolewa kupitia programu ya Tulia Trust Mtaani Kwetu kwa lengo la kurejesha tabasamu kwa kaya zisizojiweza na zinazois

TULIA TRUST YAENDELEA NA UJENZI WILAYANI RUNGWE

Tulia Trust tunaendelea na Ujenzi wa Nyumba Mbili za Wahitaji ambao Wanaishi Kwenye Mazingira hatarishi Wilayani Rungwe.

TULIA TRUST YAGUSA WALEMAVU, WAZEE MAHITAJI YA CHAKULA NA KUBORESHA MAKAZI.

Taasisi ya Tulia Trust imekabidhi mahitaji ya chakula kwa wahitaji Wilayani Rungwe  kwaajili ya Sikukuu ya Krismasi.

TULIA TRUST YAKABIDHI KITI MWENDO KWA MLEMAVU ALIYESOTA MIAKA SABA RUNGWE.

Taasisi ya Tulia Trust imekabidhi kiti mwendo kwa mtoto Ester Seme (7) mkazi wa kijiji cha Ilolo Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya alipata ulemavu

PRESS RELEASE – TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL 2023

The Tulia Trust has been organizing various annual events with the aim of providing diverse opportunities to the community.

HALINJI AND NSALAGA PRIMARY SCHOOL, IN MBEYA CITY, RECEIVES 140 BAGS OF CEMENT AS A DONATION FROM TULIA TRUST.

The Tulia Trust has provided assistance by donating 140 bags of cement to Halinji Primary School and Nsalaga Primary School in

SPEAKER DR. TULIA, CHIEF EXECUTIVE OFFICER OF TULIA TRUST, WAS THE GUEST OF HONOR AT THE WOMEN ENTREPRENEURS EMPOWERMENT DAY IN MBEYA CITY.

The Speaker of the Parliament of the United Republic of Tanzania and Member of Parliament for Mbeya Urban, Hon. Dr. Tulia Ackson (MP),

TABASAMU NA DR. TULIA ACKSON – SEASON ONE.

Tulia Trust’s first season presents the work carried out by the CEO of Tulia Trust and Member of Parliament for Mbeya Urban, Dr. Tulia,

TULIA TRUST ASSISTS IN IMPROVING THE MBEYA REGION’S EDUCATION INFRASTRUCTURE.

Speaker Dr. Tulia Ackson, through her foundation, Tulia Trust, has conducted a visit to various schools in the Mbeya region with the aim

Social
Recent Posts
  • WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO…
    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 11, 2024 ameshiriki katika tukio la mbio za Mbeya Tulia Marathoni 2024[…]
  • DKT. TULIA ATOA MSAADA KW…
    Dkt.Tulia Ackson amekabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali kwa waathirika ambao nyumba zao zilifunikwa na maporomoko ya tope katika Mlimani Kawetele Kata ya Itezi jijini hapa na kusababisha kukosa makazi ya kuishi.[…]
  • SPIKA DKT. TULIA AMJENGEA…
    Akiongea huku akibubujikwa machozi Singwava Jackson amemshukuru Dkt Tulia kwa kuisitiri familia yake kwani alikuwa akiishi kwenye turubai kwa hofu hasa mvua zilipokuwa zikinyesha na pia hakuwa na mtaji.[…]
  • MNEC MWASELELA: MBEYA TUM…
    Mwaselela amesema hayo Aprili 8, mwaka huu wakati akitoa salamu kwenye Iftar iliyoandaliwa na Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake mbaye ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Spika wa Bunge Dkt.Tulia Ackson jijini hapa.[…]
  • VIONGOZI MBEYA WASEMA DKT…
    Sheikh Njalambaha amesema usiku wa jana Aprili 8 mwaka huu wakati wa waumini wa dini ya kiislam, viongozi wa Chama, Serikali na Machifu mkoani hapa walipoungana kula aftari iliyoandaliwa, Dkt. Tulia Ackson kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust.[…]