Timida Mpoki Fyandomo Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana Taifa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Mkoa wa Mbeya ameahidi kutoa godoro kwa mjane Singwava Mwanyanje mwenye watoto sita mkazi wa Itanji Kata ya Iganjo Jijini Mbeya anayejengewa nyumba na Taasisi ya Tulia Trust inayoongozwa na Rais wa Mabunge Duniani Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini.
Clemence Mwandemba Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mbeya amesema Dkt Tulia amekuwa akifanya mambo makubwa nchini kwa kuwagusa watu wenye uhitaji.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mtaa wa Itanji Javin Shaha amesema mama huyo anapitia kipindi kigumu hivyo anahitaji kusaidiwa.
Singwava Jackson amewashukuru wadau wote waliofanikisha kumjengea nyumba zaidi Mbunge aliyeguswa na changamoto alizopitia za kuishi kwenye turubai yeye na wanawe sita.
Kwa upande wake Afisa Habari wa Taasisi ya Tulia Trust Joshua Mwakanolo amesema moyo uliooneshwa na Timida Fyandomo unapaswa kuigwa na viongozi wengine.
Taasisi ya Tulia Trust imemjengea nyumba mjane huyo baada ya kumkuta akiishi kwenye turubai yeye na wanawe sita.
Ahadi hiyo ameitoa baada ya kutembelea ujenzi wa nyumba unaondelea Mtaa wa Itanji Kata ya Iganjo Jijini Mbeya.
Clemence Mwandemba Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mbeya amesema Dkt Tulia amekuwa akifanya mambo makubwa nchini kwa kuwagusa watu wenye uhitaji.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mtaa wa Itanji Javin Shaha amesema mama huyo anapitia kipindi kigumu hivyo anahitaji kusaidiwa.
Aidha Mtendaji wa Mtaa wa Itanji Nuru Msigwa amemshukuru Dkt Tulia kwa kutoa msaada.
Naye Singwava Jackson amewashukuru wadau wote waliofanikisha kumjengea nyumba zaidi Mbunge aliyeguswa na changamoto alizopitia za kuishi kwenye turubai yeye na wanawe sita.
Baadhi ya viongozi wa CCM Kata ya Iganjo wamepata furasa ya kutoa neno wakisema Dkt Tulia anakiwakilisha vema Chama Cha Mapinduzi.
Kwa upande wake Afisa Habari wa Taasisi ya Tulia Trust Joshua Mwakanolo amesema moyo uliooneshwa na Timida Fyandomo unapaswa kuigwa na viongozi wengine.
Taasisi ya Tulia Trust imemjengea nyumba mjane huyo baada ya kumkuta akiishi kwenye turubai yeye na wanawe sita.
Recent Posts
- Online Casino Deutschland…September 25, 2026Online Casinos bieten heute eine große Auswahl an Spielautomaten, Tischspielen und […]
- Cazeus no deposit bonus c…September 25, 2026cazeus no deposit bonus codes – praktische gids voor Nederlandse spelers Ben je op zoek naar een […]
- Cazeus bonus registratie …September 25, 2026“`html Cazeus bonus registratie stappen – volledige gids voor Nederlandse spelers Cazeus […]
- Cazeus NL review: registr…September 25, 2026Cazeus NL – Alles wat je moet weten Na een pakkende hero‑afbeelding op de bovenkant van de pagina, […]
- Cazeus in Nederland – vol…September 25, 2026Cazeus – Praktische gids voor Nederlandse spelers Op zoek naar een betrouwbaar online casino dat […]