TULIA TRUST YAENDELEA NA UJENZI WILAYANI RUNGWE

Tulia Trust tunaendelea na Ujenzi wa Nyumba Mbili za Wahitaji ambao Wanaishi Kwenye Mazingira hatarishi Wilayani Rungwe.

Nyumba zinazojengwa ni Kwaajili ya Neva Kasulu Mkazi wa Kata ya kimo kijiji cha kibisi na Ndugu Ambele Fredy wa Kata ya Kisondela Wilayani Rungwe.

Ujenzi huo unafanyika Kupitia Programu ya kukimbiza Bendera ya Upendo iliyo kimbizwa wilayani humo siku kadhaa zilizopita na kuhimiza jamii kuishi kwa Upendo,Mshikamano na Uwajibikaji,nyumba hizo zinasimamiwa kupitia programu ya Tulia Trust Mtaani Kwetu ambapo Taasisi ya Tulia Trust inatarajia Kukabidhi Nyumba hizo kwa wahusika Tarehe 30/12/2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

DONATE

Give us a call or fill in the form below and we'll contact you. We endeavor to answer all inquiries within 24 hours on business days. DONATE BY BANK: Account Name: TULIA TRUST Account Number: 0150226766000 Bank Name: CRDB