Diwani wa kata ya majengo jijini Mbeya ,Maulid Jamadary amemshukuru Dr Tulia Ackson mbunge wa Mbeya mjini na Spika wa bunge la JMT kwa msaada wa kiti mwendo (wheelchair ) na Bima ya afya kwa Elizabeth Mbewe ambaye ni mkazi wa kata ya Majengo .
Elizabeth amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
Akitoa shukrani hizo Maulid Jamadary amemuomba Mbunge huyo kuendelea kuwafikia wahitaji mbalimbali ili kutatua changamoto wanakumbana nazo.
“Namshukuru sana Mbunge wangu na Mwenyezi Mungu ambariki sana na aendelee kumlinda na kumpa umri mrefu ili aweze kuwasaidia watu wengi zaidi wenye mahitaji”.
Recent Posts
- Vegas Hero Casino: Zijn d…March 11, 2026Vegas Hero Casino, een dynamische speler in de online gokindustrie, heeft de aandacht getrokken van […]
- True Luck Casino offre-t-…March 7, 2026En tant qu’analyste en ligne spécialisé dans les casinos depuis plusieurs années, j’ai examiné avec […]
- Der Froggybet Kosmos: Ein…March 6, 2026Als SEO-Kopiräfter mit zehn Jahren Erfahrung im iGaming-Bereich habe ich viele Online-Casinos […]
- Lizaro Casino: een diepga…March 6, 2026Het lizaro online casino heeft zichzelf gepositioneerd als een aantrekkelijke optie voor online […]
- De gebruikersinterface va…March 6, 2026Million Casino is een interessante nieuwkomer in de online gokwereld, die zich richt op zowel […]






