TULIA TRUST YAWAPA TABASAMU WANA-ITEZI
Taasisi ya Tulia Trust imetoa Msaada wa Viti Mwendo Vinne (4) kwa Watu Wenye Uhitaji Maalumu (Watu wenye Ulemavu) kata ya Itezi Jijini Mbeya.
Zoezi hilo la kukabidhi viti mwendo limefanyika katika Uwanja wa Gombe likiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mrakibu Mwandamizi wa Uhamiaji Mhe.Mubarak Alhaji Batenga akimuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Mhe. Beno Malisa.
Katika zoezi hilo Taasisi ya Tulia Trust inayoongozwa na Mkurugenzi Wake ambaye ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson pia imekabidhi Daftari kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi Wanye uhitaji Kutoka mitaa minne ya Kata hiyo ya Itezi.
Recent Posts
- Vegas Hero Casino: Zijn d…March 11, 2026Vegas Hero Casino, een dynamische speler in de online gokindustrie, heeft de aandacht getrokken van […]
- True Luck Casino offre-t-…March 7, 2026En tant qu’analyste en ligne spécialisé dans les casinos depuis plusieurs années, j’ai examiné avec […]
- Der Froggybet Kosmos: Ein…March 6, 2026Als SEO-Kopiräfter mit zehn Jahren Erfahrung im iGaming-Bereich habe ich viele Online-Casinos […]
- Lizaro Casino: een diepga…March 6, 2026Het lizaro online casino heeft zichzelf gepositioneerd als een aantrekkelijke optie voor online […]
- De gebruikersinterface va…March 6, 2026Million Casino is een interessante nieuwkomer in de online gokwereld, die zich richt op zowel […]






