WANAFUNZI wanaoishi katika mazingira hatarishi Jijini Mbeya wamepatiwa msaada wa madaftari na Taasisi ya Tulia Trust ikiwa ni mwendelezo wa kusaidia jamii kwa kata 36 zilizopo Jijini hapa.
Taasisi ya Tulia Trust imeanza programu maalum ugawaji wa baiskeli za viti mwendo kwa walemavu sambamba na kuwaingiza kwenye mpango wa kuwezesha kiuchumi.
Taasisi ya Tulia Trust leo imefanya matukio mawili likiwepo la kukabidhiwa madaftari kwa watoto wenye mahitaji maalum 3,000 katika shule la za msingi kata 36 jijini hapa.
Diwani wa kata ya majengo jijini Mbeya ,Maulid Jamadary amemshukuru Dr Tulia Ackson mbunge wa Mbeya mjini na Spika wa bunge la JMT kwa msaada wa kiti mwendo (wheelchair ) na Bima ya afya kwa Elizabeth Mbewe ambaye ni mkazi wa kata ya Majengo.
Mtoto mwenye ulemavu wa miguu Doreen Myuki (12)Mwanafunzi wa darasa la Saba Shule ya Msingi Mwasote kata ya Itezi Jijini Mbeya ameshindwa kujizuia kwa kumwaga machozi kwa kueleza machungu aliyopotia kipindi chote cha kusaka elimu kutokana na ulemavu aliokuwa nao.
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amefanya tukio la kihistoria katika Mkoa wa Mbeya baada ya kutoa bure kadi za bima kwa kaya 1,000 zenye watu 6,000.
Wananchi 6,000, mkoani Mbeya wamewezeshwa bima za afya bure na taasisi ya Tulia Trust kupitia Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dkt.Tulia Ackson ikiwa ni jitihada za kuunga mkono serikali katika sekta ya afya.
JAMII na wadau mbalimbali Jijini Mbeya wameombwa kumuunga mkono Spika wa Bunge na Mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini ,Rais wa IPU Dkt.Tulia Askson katika jitihada zake za kusaidia watu wasiojiweza
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, amezindua na kumkabidhi nyumba mlemavu wa macho
Watoto watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini...[…]
Wanafunzi watano waliokuwa wakisoma nchini Nigeria kwa ufadhiri wa Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wa Spika wa Bunge Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wamewasili leo Ijumaa Agost 16 mwaka huu.[…]
Dkt.Tulia Ackson amekabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali kwa waathirika ambao nyumba zao zilifunikwa na maporomoko ya tope katika Mlimani Kawetele Kata ya Itezi jijini hapa na kusababisha kukosa makazi ya kuishi.[…]
Let's get in touch
Give us a call or drop by anytime, we endeavour to answer all enquiries within 24 hours on business days.
DONATE BY BANK: TULIA TRUST 0150226766000 CRDB
Give us a call or fill in the form below and we'll contact you. We endeavor to answer all inquiries within 24 hours on business days.
DONATE BY BANK:
Account Name: TULIA TRUST
Account Number: 0150226766000
Bank Name: CRDB