All posts tagged: Non Private

MBALAZA WA UMOJA WA VIJANA WA CCM MBEYA MJINI, CDE. TIMIDA FYANDOMO, AAHIDI MSAADA WA GODORO KWA MUHITAJI KATIKA UJENZI WA NYUMBA YA TULIA TRUST

Timida Mpoki Fyandomo Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana Taifa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Mkoa wa Mbeya ameahidi kutoa godoro kwa mjane Singwava Mwanyanje mwenye watoto sita mkazi wa Itanji Kata ya Iganjo Jijini Mbeya anayejengewa nyumba na Taasisi ya Tulia Trust inayoongozwa na Rais wa Mabunge Duniani Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini.

Read more

DONATE

Give us a call or fill in the form below and we'll contact you. We endeavor to answer all inquiries within 24 hours on business days. DONATE BY BANK: Account Name: TULIA TRUST Account Number: 0150226766000 Bank Name: CRDB