Huu ni msimu wa nane wa mbio hizo ambazo hulenga kusaidia miundombinu ya elimu na afya kwa jamii na tayari maandalizi yameanza, huku wanamichezo wakiombwa kushiriki mbio hizo.
Huu ni msimu wa nane wa mbio hizo ambazo hulenga kusaidia miundombinu ya elimu na afya kwa jamii na tayari maandalizi yameanza, huku wanamichezo wakiombwa kushiriki mbio hizo.
Taasisi inawakaribisha Watanzania wote kwenye mashindano ya riadha yajulikanayo kama MBEYA TULIA MARATHON msimu wa Nane mashindano yatafanyika mnamo tarehe 10-11/05/2024
Watoto watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini...[…]
Wanafunzi watano waliokuwa wakisoma nchini Nigeria kwa ufadhiri wa Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wa Spika wa Bunge Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wamewasili leo Ijumaa Agost 16 mwaka huu.[…]
Dkt.Tulia Ackson amekabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali kwa waathirika ambao nyumba zao zilifunikwa na maporomoko ya tope katika Mlimani Kawetele Kata ya Itezi jijini hapa na kusababisha kukosa makazi ya kuishi.[…]
Let's get in touch
Give us a call or drop by anytime, we endeavour to answer all enquiries within 24 hours on business days.
DONATE BY BANK: TULIA TRUST 0150226766000 CRDB
Give us a call or fill in the form below and we'll contact you. We endeavor to answer all inquiries within 24 hours on business days.
DONATE BY BANK:
Account Name: TULIA TRUST
Account Number: 0150226766000
Bank Name: CRDB