NYOTA YA PILTON MUSA YAZIDI KUNG’ARA

Tulia Trust tunatoa pongezi nyingi sana kwa Aliyekuwa Mshindi wa Kwanza kwenye Mashindano ya Kusaka Vipaji yaliyo anzishwa na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani ambae ni Spika wa Bunge ambae ni Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini Mh.Dkt.Tulia Ackson yajulikanayo kama Tulia Stree Talent Competition 2023 Kipengele cha Uchekeshaji Wima (Comedy) Pilton Musa Nyota yake imeendelea Kung’ara baada ya kuibuka Mshindi kwenye CHEKA TU Comedy Search Mbeya iliyofanyika 25 Januari 2023.
Taasisi ya Tulia Trust inatoa shukrani za dhati kwa mdau wa sanaa ya uchekeshaji wima Coy Mzungu.
Recent Posts
NYOTA YA PILTON MUSA YAZI…
July 18, 2025Tulia Trust tunatoa pongezi nyingi sana kwa Aliyekuwa Mshindi wa Kwanza kwenye Mashindano ya Kusaka Vipaji yaliyo anzishwa na Rais wa[…]WANANCHI UYOLE WAMCHUKULI…
July 18, 2025Watoto watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini...[…]DKT.TULIA ATANGAZA KUGOMB…
July 18, 2025Watoto watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini...[…]TULIA ASHINDWA KUIMBA WIM…
July 18, 2025Watoto watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini...[…]DK BITEKO: MARATHONI NI F…
July 18, 2025Watoto watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini...[…]