
Wananchi wa Jimbo la Uyole Mkoani Mbeya wamemchukulia fomu ya kuwania Ubunge Dkt. Tulia Ackson katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2025 hapa nchini.
Akizungumza baada ya kuchukua fomu hiyo kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la Uyole Adil Mwansepele amesema kilichowasukuma kumchukulia fomu Dkt. Tulia ni mapenzi yake kwa wananchi wa Jimbo hilo jipya la Uyole.
Recent Posts
NYOTA YA PILTON MUSA YAZI…
July 18, 2025Tulia Trust tunatoa pongezi nyingi sana kwa Aliyekuwa Mshindi wa Kwanza kwenye Mashindano ya Kusaka Vipaji yaliyo anzishwa na Rais wa[…]DKT.TULIA ATANGAZA KUGOMB…
July 18, 2025Watoto watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini...[…]TULIA ASHINDWA KUIMBA WIM…
July 18, 2025Watoto watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini...[…]DK BITEKO: MARATHONI NI F…
July 18, 2025Watoto watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini...[…]MBEYA TULIA MARATHON YAAN…
July 18, 2025Watoto watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini...[…]