TULIA TRUST YAENDELEA NA UJENZI WILAYANI RUNGWE

Tulia Trust tunaendelea na Ujenzi wa Nyumba Mbili za Wahitaji ambao Wanaishi Kwenye Mazingira hatarishi Wilayani Rungwe.
Nyumba zinazojengwa ni Kwaajili ya Neva Kasulu Mkazi wa Kata ya kimo kijiji cha kibisi na Ndugu Ambele Fredy wa Kata ya Kisondela Wilayani Rungwe.
Ujenzi huo unafanyika Kupitia Programu ya kukimbiza Bendera ya Upendo iliyo kimbizwa wilayani humo siku kadhaa zilizopita na kuhimiza jamii kuishi kwa Upendo,Mshikamano na Uwajibikaji,nyumba hizo zinasimamiwa kupitia programu ya Tulia Trust Mtaani Kwetu ambapo Taasisi ya Tulia Trust inatarajia Kukabidhi Nyumba hizo kwa wahusika Tarehe 30/12/2023.
Recent Posts
DKT. TULIA AHAMASISHA MAM…
May 30, 2025Watoto watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini...[…]DKT.TULIA AMEREJESHA FURA…
May 30, 2025Watoto watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini...[…]BENJA FC WABABE WA TULIA …
May 30, 2025Watoto watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini...[…]DKT. TULIA ASISITIZA MATU…
May 30, 2025Watoto watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini...[…]WANAFUNZI WAMTAJA DKT. TU…
August 21, 2024Watoto watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini...[…]