amon, Author at Tulia Trust

NYOTA YA PILTON MUSA YAZIDI KUNG’ARA
Tulia Trust tunatoa pongezi nyingi sana kwa Aliyekuwa Mshindi wa Kwanza kwenye Mashindano ya Kusaka Vipaji yaliyo anzishwa na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani ambae ni Spika wa Bunge ambae ni Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini Mh.Dkt.Tulia Ackson  yajulikanayo kama Tulia Stree Talent Competition 2023 Kipengele cha Uchekeshaji Wima (Comedy) Pilton Musa  Nyota yake imeendelea Kung’ara baada ya kuibuka Mshindi kwenye CHEKA TU Comedy Search Mbeya iliyofanyika 25 Januari 2023.

Taasisi ya Tulia Trust inatoa shukrani za dhati kwa mdau wa sanaa ya uchekeshaji wima Coy Mzungu.

The post NYOTA YA PILTON MUSA YAZIDI KUNG’ARA appeared first on Tulia Trust.

WANAFUNZI WAMTAJA DKT. TULIA KIONGOZI WA MFANO KWA WATANZANIA
Na Esther Macha, Timesmajira Online, Mbeya

WATOTO watano waliokuwa wakiishi katika mazingira magumu waliopelekwa masomoni nchini Nigeria kwa ufadhili wa Taasisi ya Tulia Trust wamewasili nchini jana na kupokelewa katika uwanja wa Ndege wa Songwe tangu mwaka 2018.

Wanafunzi hao walifadhiliwa masomo na Mkurugenzi wa Taasisi hiyo ,Spika wa Bunge na Mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini ambaye pia ni Rais umoja wa Mabunge Duniani (IPU)Dkt.Tulia Ackson .

Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 16 mwaka huu mara baada ya mapokezi mmoja wa wanufaika wa ufadhiri huo ,Beauty Mwasolokoto amesema wanamfananisha Dkt ,Tulia kama Mshumaa unaowaka na kumulika mwanga mpaka unaisha.

“Mtu hawezi kuwa kiongozi kama hawezi kuwa na maamuzi ya kuacha vitu vyake vyote na kuweka watu wengine mbele hivyo Ndugu zetu watanzania tunaomba msaidieni Dkt.Tulia ni mtu anayeshika wasiojiweza na kuwanyanyua ili waweze kusonga mbele”amesema mmoja wa watoto hao Beauty Mwasolokoto.

Mwanafunzi mwingine Ayubu Mwaihola amesema kuwa Dkt.Tulia amekuwa msaada kwa wananchi wasiojiweza wakiwemo wanafunzi ambao uhitaji wao bado ni changamoto.

“Dkt.Tulia ametuongezea sisi ambao tulikuwa tuna maisha magumu kule kuvaa,kula,kulala vyote vilikuwa vigumu nikikumbuka niliambiwa Baba yangu alikufa kabla sijazaliwa kwa hiyo simjui baba nimelelewa na Mama ,kaka na Dada kwenda shule ilikuwa vigumu kutokana na mazingira magumu ya nyumbani,lakini Dkt Tulia alijitoa kunipeleka nchini Nigeria kusoma kuanzia kidato cha kwanza mpaka sita mpaka nimemaliza na kufaulu vizuri”amesema Ayub.

Kwa upande wake Meneja wa Taasisi ya Tulia Trust,Jackline Boaz amesema kuwa Dkt.Tulia aliwapeleka masomoni nchini Nigeria watoto watano ambao wanatoka katika mazingira kutoka mkoa wa Mbeya na Ruvuma.

“Leo tumekuja kuwapokea watoto wetu watano baada ya kumaliza masomo yao kwa muda wa miaka sita waliyo kaa huko nchini Nigeria ambapo walienda 2018 ,wakiwa wanaenda kuanza kidato cha kwanza na Sasa ni 2024 wamemaliza kidato cha sita hivi Sasa wamerudi kwa mapumZiko mafupi wararudi tena kwa ajili ya kwenda chuoni”amesema Meneja huyo.

Watoto waliopelekwa masomoni kwa ufadhili wa Tulia Trust chini ya mkurugenzi wake Dkt.Tulia Ackson ni Anna Shitindi ,Bernada Fuine ,Beautiful Mwasolokoto,Ayubu Mwaihola,

Suzana Mwakilima .

Baada ya mapokezi hayo walifika shule ya Sekondari ya Tulia Girl’s na Dkt.Tulia Sekondari na kukabidhi msaada wa MADAFTARI kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika Shule hizo ikiwa ni sehemu ya shukrani kwao kwa watoto wenzao wanaoishi katika mazingira magumu.

soma zaidi

The post WANAFUNZI WAMTAJA DKT. TULIA KIONGOZI WA MFANO KWA WATANZANIA appeared first on Tulia Trust.

WALIOHITIMU ELIMU YA KIDATO CHA SITA KWA UFADHIRI WA DKT. TULIA NIGERIA WAWASILI NCHINI
Wanafunzi  watano waliokuwa wakisoma nchini Nigeria kwa ufadhiri wa Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wa Spika wa Bunge Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wamewasili leo Ijumaa Agost 16 mwaka huu.

Mapokezi hayo yamefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Songwe huku ndugu jamaa na viongozi mbalimbali walishiriki wakiongozwa na Meneja wa Taasisi ya Tulia Trust Jackline Boaz.

Akizungumza mara baada ya mapokezi hayo Jackline amesema vijana hao watano akiwepo wa kiume mmoja walikuwa wakiishi katika mazingira magumu na kwamba walipata ufadhiri kuanzia kidato cha kwanza mpaka sita katika moja ya shule nchini Nigeria.

“Wameishi huko kipindi cha miaka sita sasa wamerejea katika likizo fupi baada ya kuhitumu wakisubiri matokeo watarejea tena nchini humo kwa ajili ya kuendelea na elimu ya juu kwa ufadhiri wa Spika Dkt. Tulia” amesema.

Amesema kati ya wanafunzi hao watano wapo waliotoka Mkoa wa Ruvuma huku na kuweka bayana lengo Mkurugenzi wa Taasisi hiyo kuona watoto wenye mazingira magumu wanapata fursa ya kupata elimu bora.

Akizungumza huku akibubujikwa na machozi mara baada ya kugusa ardhi ya Tanzania mmoja wa wanafunzi hao Ayuob Richard (17) amesema Dkt. Tulia amemuinua kutoka chini kupanda juu kufuatia kutoka katika familia duni.

“Mimi tangu nizaliwe nimelelewa na mama nilielezwa baba yangu mzazi alifariki nimeishi maisha duni  mpaka Taasisi ya Tulia Trust kupitia Mkurugenzi wake Dkt. Tulia kuniokota na kunipeleka nchini Nigeria ambako nimesoma elimu ya kidato cha kwanza mpaka sita” amesema.

Naye Beauty Jafary amemfanisha Dkt. Tulia na mshumaa uliowashwa ukimulika na kuisha kwani ameweza kuwawezesha kutimiza ndoto zao kwa kuwatoa katika mazingira magumu na kuwapia fursa ya elimu nje ya nchi.

“Niwaombe watanzania Dkt. Tulia ni mshumaa tumlinde na kumnza kwa kumuonyesha upendo, ushirikiano ili aweze kutimiza ndoto yake kwa watanzania na kulifikisha taifa mbali.

https://mbeyapresstv.blogspot.com/2024/08/waliohitimu-elimu-ya-kidato-cha-sita.html

The post WALIOHITIMU ELIMU YA KIDATO CHA SITA KWA UFADHIRI WA DKT. TULIA NIGERIA WAWASILI NCHINI appeared first on Tulia Trust.

1,000 KUSHIRIKI MASHINDANO YA MAPISHI
Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt. Tulia Ackson imeandaa Mashindano ya Mapishi kwa Mama na Baba Lishe  Mbeya Mjini.

Mashindano hayo yanajulikana kama  Tulia Cooking Festival yanatarajiwa kufanyika mwishoni mwa Mwezi Agosti  2024 na  yakishirikisha washiriki 1,000 yenye kauli mbiu isemayo tumia nishati mbadala kuondoa uchafuzi wa mazingira.

https://mbeyapresstv.blogspot.com/2024/08/1000-kushiriki-mashindano-ya-mapishi.html

The post 1,000 KUSHIRIKI MASHINDANO YA MAPISHI appeared first on Tulia Trust.

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA MBEYA TULIA MARATHON 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 11, 2024 ameshiriki katika tukio la mbio za Mbeya Tulia Marathoni 2024 zilizoandaliwa na Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust. Mbio hizo zilianzia na kuishia kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Mei 11, 2024.

Baadhi ya viongozi walioshiriki mbio hizo ni Mke wa Waziri Mkuu Mary Majaliwa, Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt. Tulia Ackson, Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma, Wakuu wa Mikoa ya Njombe na Mbeya, Wabunge na Viongozi wa Vyama vya Siasa.

The post WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA MBEYA TULIA MARATHON 2024 appeared first on Tulia Trust.

DKT. TULIA ATOA MSAADA KWA WANANCHI WALIOKUMBWA NA MAPOROMOKO ITEZI
Na Esther Macha, Timesmajira Online, Mbeya

MBUNGE wa Jimbo la Mbeya Mjini na Spika wa Bunge ambaye ni Rais Umoja wa Mabunge Duniani,Dkt.Tulia Ackson amekabidhi msaada wa mahitaji mbalimbali kwa waathirika ambao nyumba zao zilifunikwa na maporomoko ya tope katika Mlimani Kawetele Kata ya Itezi jijini hapa na kusababisha kukosa makazi ya kuishi.

Ambayo yaliotokea Aprili 14, 2024 na kusababisha nyumba 20 na shule kufunikwa na maporomoko ya tope huku wananchi wakikosa makazi ya kuishi ambao kwa sasa wamehifadhiwa katika shule ya msingi Tambulikareli ambayo imefungwa kwa muda wakati utaratibu mwingine wa kuwahifadhi wananchi hao na familia zao ukiendelea.

Msaada huo umekabidhiwa Aprili 16, 2024 na Katibu wa Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini,Steven Chambanenge kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo hilo Dkt.Tulia .

Vitu vilivyokabidhiwa ni pamoja na kilo 200 za mchele,unga wa ugali kilo 500, maharage kilo 80,majiko 20 ya gesi ,sukari kilo 200,lita 50 za mafuta ya kupikia ili viweze kuwasaidia waathirika wa maporomoko hayo.

Dkt. Tulia ambae kwasasa yupo nchini Marekani kushiriki kikao cha kujadili changamoto za mabadiliko ya tabia nchi yanayoikumba Dunia na utatuzi wake, wakati wa mkutano wa mwaka 2024 wa Jukwaa la Kibunge la Benki ya Dunia na Shirika la Fedha Duniani.

Mkutano huo ulioanza Aprili 15 ,2024 katika makao makuu ya Benki ya Dunia, Washington DC, nchini Marekani.

Diwani wa Kata ya Itezi Sambwee Shitambala ameshukuru kufuatia msaada huo uliotolewa na Mbunge huyo huku akiomba wadau wengine kujitokeza kusaidia wananchi waliopatwa na janga hilo na kusema uhitaji bado mkubwa.

Pia Shitambala amesema bado kuna changamoto ya vyoo kuwa vichache, uhaba wa maji na umeme huku akipongeza mwitikio wa wadau zikiwemo taasisi za serikali,binafsi na watu binafsi.

Mratibu wa maafa Mkoa wa Mbeya,Juma Maduhu amesema mahitaji ya sasa kwa waathirika hao ni zaidi ya tani saba za chakula ikiwemo mchele, unga na nafaka nyinginezo ambazo ni kwa ajili ya mboga.

Huku akieleza kuwa kama kitengo cha maafa walichukua hatua za awali ikiwa ni kutoa msaada wa vifaa mbalimbali ikiwemo mablangeti,magodoro na ndoo.

“Bado tunaendelea kuhamasisha wadau kujitokeza kusaidia wananchi hawa kwani bado uhitaji ni mkubwa,”amesema.

soma zaidi

The post DKT. TULIA ATOA MSAADA KWA WANANCHI WALIOKUMBWA NA MAPOROMOKO ITEZI appeared first on Tulia Trust.

SPIKA DKT. TULIA AMJENGEA NYUMBA MJANE AMKABIDHI
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni Mkurugenzi wa Tulia Trust Mhe. Dkt. Tulia Ackson amekabidhi nyumba Kwa Singwava Jackson mkazi wa mtaa wa ltanji Kata ya Iganjo Jijini Mbeya mjane mwenye watoto sita baada ya kuishi kwenye nyumba ya maturubai Kwa zaidi ya miaka minne.

Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi,Seikali,Viongozi wa Dini,viongozi wa Mila na wananchi ambapo Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Beno Malisa amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera.

Katika hotuba yake Dkt Tulia amewashukuru wananchi Kwa namba walivyoguswa kuungana na taasisi yake kuhakikisha mama hiyo anaishi vizuri yeye na familia yake.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya Patrick Mwalunenge amempongeza Dkt Tulia Kwa kuwagusa watu wenye uhitaji kwani hiyo ni sadaka mbele za Mungu.

Ametoa wito kwa wana CCM kuwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 mgombea Urais ni Dkt Samia Suluhu Hassan na Ubunge wa Mbeya mjini ni Dkt Tulia Ackson kwani kazi walizozifanya zinaonekana kwa macho.

Mwalunenge amechangia shilingi laki tano ili ziweze kumsaidia mjane huyo na familia yake pamoja na mahitaji ya shule kwa watoto.

Mjumbe wa mkutano Mkuu Taifa(NEC)Ndele Mwaselela amesema yeyote anayetaka kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini aanze kutoa misaada sasa na ajipime kama anatosha nafasi hiyo.

“Mimi siyo mnafiki na siogopi kusema ukweli na kwamba tutaimarisha ulinzi Kwa Dkt Tulia”alisema Mwaselela.

Hata hivyo Mwaselela amechangia shilingi laki tano Kwa ajili ya kuongeza mtaji na mahitaji kwa familia hiyo.

Beno Malisa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera amesema Dkt Tulia amefanya mambo mengi katika Jiji la Mbeya kama ujenzi wa madarasa,zahanati,bima kwa wazee,mitaji kwa wana wake,sare za shule ,mikopo ya pikipiki na Bajaj.

Chifu Roketi Mwanshinga ni mmoja wa watu waliohudhuria hafla hiyo huku akiwataka wananchi kushikamana kumuunga mkono Dkt Tulia kwa maendeleo ya Mbeya naye akichangia sukari Kwa familia.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa mtaa wa ltanji Kata ya Iganjo Jaivah Washaha mbali ya kumshukuru Dkt Tulia kufanikisha ujenzi wa nyumba ya mwananchi wake naye ameunga mkono kwa kuingiza maji kwa mjane sanjari na kuchangia pango la nyumba ujenzi ulipokuwa unaendelea.

Akiongea huku akibubujikwa machozi Singwava Jackson amemshukuru Dkt Tulia kwa kuisitiri familia yake kwani alikuwa akiishi kwenye turubai kwa hofu hasa mvua zilipokuwa zikinyesha na pia hakuwa na mtaji.

Mbali ya kukabidhi nyumba Dkt Tulia amekabidhi pia fedha taslim zaidi ya shilingi milioni tatu na laki sita ili kumsaidia kuongeza mtaji na mahitaji ya shule kwa watoto pia mahitaji ya ndani.

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni Mkurugenzi wa Tulia Trust Mhe. Dkt. Tulia Ackson amekabidhi nyumba Kwa Singwava Jackson mkazi wa mtaa wa ltanji Kata ya Iganjo Jijini Mbeya mjane mwenye watoto sita baada ya kuishi kwenye nyumba ya maturubai Kwa zaidi ya miaka minne.

Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi,Seikali,Viongozi wa Dini,viongozi wa Mila na wananchi ambapo Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Beno Malisa amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera.

Katika hotuba yake Dkt Tulia amewashukuru wananchi Kwa namba walivyoguswa kuungana na taasisi yake kuhakikisha mama hiyo anaishi vizuri yeye na familia yake.

Aidha Dkt Tulia amewataka wananchi na watu wenye unafuu wa maisha kuwagusa watu wenye uhitaji kila mmoja Kwa namna alivyojaliwa badala ya kubeza wale wanaotoa misaada kwenye jamii.

Awali Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya Patrick Mwalunenge amempongeza Dkt Tulia Kwa kuwagusa watu wenye uhitaji kwani hiyo ni sadaka mbele za Mungu.

Ametoa wito kwa wana CCM kuwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 mgombea Urais ni Dkt Samia Suluhu Hassan na Ubunge wa Mbeya mjini ni Dkt Tulia Ackson kwani kazi walizozifanya zinaonekana kwa macho.

Mwalunenge amechangia shilingi laki tano ili ziweze kumsaidia mjane huyo na familia yake pamoja na mahitaji ya shule kwa watoto.

Naye Mjumbe wa mkutano Mkuu Taifa(

NEC)Ndele Mwaselela amesema yeyote anayetaka kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya mjini aanze kutoa misaada sasa na ajipime kama anatosha nafasi hiyo.

“Mimi siyo mnafiki na siogopi kusema ukweli na kwamba tutaimarisha ulinzi Kwa Dkt Tulia”alisema Mwaselela.

Hata hivyo Mwaselela amechangia shilingi laki tano Kwa ajili ya kuongeza mtaji na mahitaji kwa familia hiyo.

Beno Malisa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera amesema Dkt Tulia amefanya mambo mengi katika Jiji la Mbeya kama ujenzi wa madarasa,zahanati,bima kwa wazee,mitaji kwa wana wake,sare za shule ,mikopo ya pikipiki na Bajaj.

Naye Sheikh Ibrahim Bombo kwa niaba ya Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ayasi Njalambaha amesema Dkt Tulia amekuwa akitoa misaada bila kujali itikadi za kidini na kisiasa.

Chifu Roketi Mwanshinga ni mmoja wa watu waliohudhuria hafla hiyo huku akiwataka wananchi kushikamana kumuunga mkono Dkt Tulia kwa maendeleo ya Mbeya naye akichangia sukari Kwa familia.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa mtaa wa ltanji Kata ya Iganjo Jaivah Washaha mbali ya kumshukuru Dkt Tulia kufanikisha ujenzi wa nyumba ya mwananchi wake naye ameunga mkono kwa kuingiza maji kwa mjane sanjari na kuchangia pango la nyumba ujenzi ulipokuwa unaendelea.

Mbali ya kukabidhi nyumba Dkt Tulia amekabidhi pia fedha taslim zaidi ya shilingi milioni tatu na laki sita ili kumsaidia kuongeza mtaji na mahitaji ya shule kwa watoto pia mahitaji ya ndani.

Wadau mbalimbali wameipamba hafla hiyo wakiwemo wafanyabiashara na makada wa chama ambao walitoa vyakula,godolo,jiko la gesi,nguo na samani hali iliyoleta tabasamu kwa mama huyo.

Akiongea huku akibubujikwa machozi Singwava Jackson amemshukuru Dkt Tulia kwa kuisitiri familia yake kwani alikuwa akiishi kwenye turubai kwa hofu hasa mvua zilipokuwa zikinyesha na pia hakuwa na mtaji.

soma zaidi

The post SPIKA DKT. TULIA AMJENGEA NYUMBA MJANE AMKABIDHI appeared first on Tulia Trust.

MNEC MWASELELA: MBEYA TUMEJENGA UZIO KUMLINDA DKT. TULIA
Na Esther Macha , Timesmajira Online ,Mbeya

MJUMBE Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Mkoa wa Mbeya , Ndele Mwaselela amesema chama hicho kimetengeneza uzio kuhakikisha Dkt.Tulia Ackson anapata kura za kishindo katika uchaguzi Mkuu 2025.

Amesema hawatoruhusi watu kuchukua fomu ya kuwania nafasi wala kupenyeza kuingia kwenye kinyang’nyiro ifikapo 2025 kwani tayari wameweka uzio katika nyanja mbalimbali.

Mwaselela amesema hayo Aprili 8, mwaka huu wakati akitoa salamu kwenye Iftar iliyoandaliwa na Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake mbaye ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Spika wa Bunge Dkt.Tulia Ackson jijini hapa .

Aidha Mwaselela amewataka wananchi na waumini mbalimbali waliohudhuria Iftar hiyo kuwaelimisha watu wenye vichwa vigumu mazuri yaliyofanywa na Dkt.Tulia na yanayoendelea kufanywa ili wote waweze kwenda pamoja 2025.

Hata hivyo Mnec huyo amewaomba viongozi wa dini mkoani Mbeya kuendelea kumuombea Dkt.Tulia kutokana na kuubeba Mkoa ili mambo mengine yaendelee kuwa mazuri zaidi.

Mgeni rasmi katika Iftar hiyo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,Juma Homera amesema kuwa utendaji kazi na kujitoa kusaidia wenye uhitaji kwa Dkt. Tulia ni darasa na chuo tosha kwa viongozi wengine katika kuhakikisha wanajikita kuwahudumia wanadamu kwa moyo wa upendo .

“Amegusa sekta zote ikiwemo elimu,afya,maji ,nishati, miundombinu uimarishaji wananchi kiuchumi na uhusiano katika jamii tunapozungumzia kama mnavyoona hapa tumekutana dini zote tunapata Iftar,”amesema Homera.

Sambamba na hilo pia Dkt.Tulia ametoa vifaa vya shule kwa kata 36 kwa wanafunzi wenye uhitaji ndani ya Mkoa wa Mbeya kwa wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari,sare kwa wanafunzi wenye uhitaji zaidi ya 3000 kwa shule za msingi .

Shekhe wa Mkoa wa Mbeya, Msafiri Njalambaha amesema kuwa wamekuwa wakiona viongozi wengine wakiandaa futari lakini mwasisi ni Dkt.Tulia kwani amekuwa anafanya kwa ajili na sio masuala ya kisiasa.

Amesema yapo mambo mbalimbali ambayo ameyafanya ikiwepo ujenzi wa misikiti katika Wilaya ya Rungwe, Kiwira ,Msikiti na Uyole sambamba na kutoa vifaa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la ofisi ya Bakwata.

“Mambo tofauti yanapotokea anakuwa wa kwanza kufika tulishuhudia watu walipopata matatizo aliwajengea nyumba nilisema haya anayofanya Dkt.Tulia sio kwamba anafanya sababu ni mwanasiasa bali anafanya sababu Mwenyezi Mungu amemumwekea kitu ndani ya moyo wake ,nasema huyu ni kiongozi ambaye lazima twende nae sambasamba,”amesema Shekhe Njalambaha.

soma zaidi

The post MNEC MWASELELA: MBEYA TUMEJENGA UZIO KUMLINDA DKT. TULIA appeared first on Tulia Trust.

VIONGOZI MBEYA WASEMA DKT. TULIA HAFANYI SIASA ANATEKELEZA ANDIKO LA MUNGU KUGUSA WAHITAJI
Sheikh wa Mkoa wa Mkoa Mbeya, Msafiri Njalambaha amesema kitendo anachokifanya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani na Spika wa Bunge Dkt. Tulia kuigusa jamii ni sadaka na kutekeleza maagizo ya Mungu visihusishwe na masuala ya kisiasa.

Sheikh Njalambaha amesema usiku wa jana Aprili 8 mwaka huu wakati wa waumini wa dini ya kiislam, viongozi wa Chama, Serikali na Machifu mkoani hapa walipoungana kula aftari iliyoandaliwa, Dkt. Tulia Ackson kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust.

Amesema Dkt. Tulia amekuwa msaada mkubwa kwa dini ya kiislam kwani licha ya kuwafutulisha pia amekuwa akichangia ujenzi wa misikiti, jamii yenye mahitaji.

“Tunaona mchango wake mkubwa, sio sasa  ni zaidi ya miaka mitatu anatoa futari kwa waumini wenye hali duni na hivi karibuni tumepokea mchele kilo 400 tende katoni 20 hii ni sadaka isihusishwe na masuala ya kisiasa” amesema.

Naye Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) Mkoa wa Mbeya, Ndele  Mwaselela amesema CCM imetulia na Dkt. Tulia na kwamba watamlinda na kuhakikisha uchaguzi Mkuu 2025 anapitia kwa kishindo.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amemtaja Dkt. Tulia ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya mjini kuwa ni kiongozi wa kuigwa na mfano amekuwa chachu ya kuleta maendeleo katika Jimbo la Mbeya na Mkoa kwa ujumla.

“Tunayaona anayofanya ameweza kujenga nyumba saba kwa wahitaji, kutoa sare za shule kwa watoto 3,000 kujenga misikiti na hata jitihada zake kuleta miradi mikubwa ikiwoeo barabaraa njia nne na stendi kubwa ya kisasa ya mabasi ya Mikoa, kama CCM tutamlindaa hao wengine waachane na siasa wakafanye biashara”.

Mwenyeki wa CCM, Mkoa Patrick Mwalunenge ameunga mkono kauli ya viongozi hao na kwamba watamlinda Dkt. Tulia Ackson kuendelea na  majukumu ya Bunge wao wanachama kazi jimboni.

soma zaidi

The post VIONGOZI MBEYA WASEMA DKT. TULIA HAFANYI SIASA ANATEKELEZA ANDIKO LA MUNGU KUGUSA WAHITAJI appeared first on Tulia Trust.

DKT. TULIA KUMSAIDIA MATIBABU MZEE MWENYE TATIZO LA KIDONDA MGUUNI
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametoa ahadi ya kumpatia matibabu ya mguu Mzee mwenye mahitaji  Mbaliki Shikunzi(80).

Shikunzi ambaye ni Mkazi wa mtaa Isengo Kata ya Iziwa Jijini hapa ambaye amekuwa na changamoto ya tatizo la kidonda mguu na kuishi katika mazingira magumu na kukosa msaada ikiwepo chakula, makazi hararishi.

Akizungumza kwa niaba ya Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya mjini, Ofisa Habari na Mawasiliano Joshua Mwakanolo amesema Dkt. Tulia amehaidi kumsaidia mhitaji huyo matibabu katika Hosptali ya Rufaa Kanda sambamba na kumjengea nyumba.

Mwakanolo ametoaa kauli hiyo jana Jumapili Aprili 7 mwaka huu wakati ajitosa msaada wa mahitaji ikiwepo mchele, unga,sukari na sababu.

“Tumekabidhi  msaada wa chakula mchele kilo 20, unga wa ugali kilo 20, maharage kilo 10, sukari mifuko 3, sabuni miche 2, mafuta ya kupakaa sambamba na mavazi” amesema.

Shikungu anaishi kwenye mazingira magumu yanayopelekea kukosa mahitaji hayo muhimu na kuishi kwenye nyumba chakavu ambayo inaweza kuhatarisha maisha yake.

Mkurugenzi wake, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini DkT. Tulia Ackson imeahidi kumjengea nyumba ya kuishi pamoja na  matibabu ya kidonda alichonacho mguuni katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya.

Kwa upande wake mhitaji huyo ameshukuru Taasisi ya Tulia Trust kwa mahitaji ikiwepo ahadi ya kumpatia matibabu na kumjengea makazi bora.

soma zaidi

The post DKT. TULIA KUMSAIDIA MATIBABU MZEE MWENYE TATIZO LA KIDONDA MGUUNI appeared first on Tulia Trust.